-
Kumwakilisha Mungu Visivyo
In the world of luxury goods – handbags, shoes, clothing – there’s a massive and thriving business in creating and peddling knockoffs. Imitations of famous brands using ...
-
Ulimwengu Uliopoteza Dira
Leo hii, kuna watu karibia Billioni moja ambao hawapati chakula cha kutosha wakati watu Billioni mbili na nusu wamenenepa kupita kiasi. Mwaka huu, nusu Triliyoni za dola za ...
-
Mbwa Wanaobweka
Ujumbe kwamba Yesu alikufa msalabani ili dhambi za ulimwengu, ziweze kusamehewa. Kwa upande mmoja, kila mtu siku hizi ana simu janja mkononi. Kwa upande mwingine, kuna ...
-
Rafiki Kama Hawa
Ninalo swali kwako leo: Je! Unao rafiki wa namna gani? Rafiki wema, rafiki waaminifu, rafiki wa hivi-hivi au rafiki wasio rafiki kweli? Unao rafiki wa namna ...
-
Kukataa Kuwa Mtu wa Kawaida
Ni hatua kubwa – kubwa mno – kumwamini Yesu. kwamba alikuja kukuokoa na kukupa maisha mapya. Na kama ulishachukua hatua ile, ujue kwamba kimetokea kitu kisicho cha kawaida, ...
-
Kweli Kudhihirika
Kweli ni mada inayojadiliwa sana kipindi hiki kilichoachana na Ukristo kabisa, mahali ambapo kila mtu anatetea “kweli” yake ili apate ushindi, aonekana kama yeye ndiye ...
-
Tusitumie Vifaa Vibutu
“Kweli” ni dhana inayovutia. Tunaelewa kwamba ni dhana isiyo na upendeleo – yaani jambo fulani ni kweli ama si kweli. Lakini hata hivi inaweza kukwaza mtu hadi ...
-
Silaha za Nuru
I guess most of us have watched action movies with superheros clothed in some mythical suit of armour that makes them invincible. If only we could borrow their suit! Yesterday in ...
-
Siku Zilizorefushwa, Miaka Iliyopunguzwa
Hata kama takwimu ya kupima urefu wa maisha ya binadamu kwa wastani inaongezeka karibia katika kila nchi duniani, mtu hawezi kutegemea wastani iliyoandikwa ili akadirie muda ...
-
Kudanganywa kwa Urahisi
Acha nikushtue kidogo kwa kukuuliza, je! Unaonaje nikisema kwamba Mkristo awaye yote asipotambua kwamba anaishi katika eneo la vita ya kiroho? Kwa hiyo, nikuulize tena, ...
-
Hisia au Maadili
Hisia za mwanadamu ni sehemu kubwa sana ya nafsi yake. Mtu hawezi kupuuza hisia, tena haimpasi kuzipuuza. Lakini pia, hisia zinazo uwezo mkubwa wa kutupotosha. Kila ...
-
Kulipiza Kisasi au Kumrejesha Ndugu?
Je! Ni muda gani tangu ulipofedheheshwa, au kutengwa, au kutendewa visivyo? Haijashi ni sababu gani, hali hii hua inatokea mara kwa mara, si kweli? Labda ni kitu ...
-
Kukabiliana na Lawama
Unyumbukaji, yaani kuwa mwepesi kupokea maonyo na kujirekebisha, ni tabia inayotupasa kufundisha watoto wetu wakiwa bado nyumbani kwa sababu huko mbeleni, maisha yatawawia ...
-
Maisha ya Uzima Tele
Kuna utofauti mkubwa kati ya maisha ya uzima tele na maisha tupu, maisha yanayobariki wengine na yasiyobariki , maisha ya kuridhisha kabisa na maisha ya mahangaiko tu. Je! ...
-
Hekima ya Ki-Balozi
Daima kumekuwa na msuguano wa mawazo kati ya watu wenye imani na wasio na imani na mimi ninadhani utaendelea tu, kati ya wanaomwamini Yesu na wasiomwamini. Sasa kuna njia ...
-
Jinsi Kanuni na Viwango Vinavyobadilika
Siku hizi, mtu yoyote anaemwamini yesu anabanwa katika jamii. Hufananishwa na ufisadi na upotovu wa dunia hii. Angalia, mimi siwezi kujua umefikia wapi katika swala la imani yako, ...
-
Mambo Yanayovunja Moyo
Mateso ni kitu kati ambayo yanaweza kuharibu imani ya mtu kwa urahisi. Je! Mungu wa upendo angewezaje kuruhusu upitie mambo mazito kama hayo? Kama itawezekana, ...
-
Ni Yupi Mungu Atakaye mwimarisha?
Kuna tabia moja anayo Mungu ambayo ninaipenda sana, ni nia yake ya kutusaidia na kutupa nguvu wakati sisi tumeishiwa nguvu, kutuvusha mazingira magumu ambayo yangetushinda. ...
-
Wanaokutendea Jeuri.
Mimi ninaona kwamba karibu kila siku, ninakutana na watu ambao wanajaribu kunitukana na kunikwaza kwa njia tofauti tofauti. Je! Umeshakutana na hayo? Watu wengi ...
-
Huko Ng’ambo
Je! Umewahi kuhangaika ukitafakari kinachokusu huko baada ya kifo?… wakati utakapo vuta pumzi yako ya mwisho? Najua kwamba si wewe tu, unafadhaishwa na ...
-
Kuwa Mtu Yule Ambaye Mungu Anataka Uwe
Maisha ni mapambano, si kweli? Kila wakati, siku baada ya siku kuna changamoto, kuna migongano, wasiwasi … n.k. Nadhani unanielewa. Kwa hiyo acha ...
-
Ninatamani…
Je!, Ni lini ulipata jaribu la kutumia udanganyifu? Kwa upande mmoja, ulitambua jinsi ungetenda yaliyo haki. Lakini kwa upande mwingine, kwa kutumia werevu fulani, kwa ...
-
Kumpiga Mtu Kwa Mawe
Kuwapiga Wakristo kwa mawe siku hizi ni kama kawaida. Kwa sehemu ni kwasababu ya unafiki uliopo kati yetu. Sawa, hakuna anayependa unafki. Lakini kuna sababu zingine ...
-
Hautapotea
Kuna jambo baya mno ambalo linaweza kumpata mtoto mdogo, ni kutengwa na wazazi; kupotea; yaani kifungo kile cha usalama kuvunjika hata kama ni kwa muda mfupi. Ninakumbuka ...
-
Kupumzika Katika Amani
When some dies, people say things like “She’s gone to a better place,” or “May he rest in peace.” And whilst those platitudes might make us feel better, they make no ...
-
Kupunguza Presha
Have you ever wondered why there’s so much trouble in this world? Why are people so antsy? Where does all this anger come from? Why is everyone shouting? Why, indeed! One of my ...
-
Ahadi ya Kuingia Katika Raha ya Mungu
Tiredness is one of the greatest pandemics sweeping the globe. Sure, we’ve seen other more spectacular ones like COVID come and go, yet tiredness contributes to more deaths each ...
-
Kupata Raha
Ni mara chache sana kusikia watu wanaokuwa na nafasi kama ya kwangu kukiri kwamba wamechoka. Si unajua mimi ni muhubiri, lazima niwe na majibu yote. Lakini si kweli, tena ...
-
Kumtafuta Yeye Bwana
Mateso yakikujia tena, je! Ni kwa kiwango gani unachotaka kutafuta uso wa Mungu? Jibu la watu wengi linawezakuwa, sio sana. Kwa hiyo wengi wanakaa tu na kuingiwa ...
-
Unatafutwa
Penda, usipende, sisi sote tunapenda kupiga mahesabu kichwani kwa siri. Na daftari letu la hesabu lina pande mbili, Upande wa muamala na upande wa deni; mambo mema ...
-
Kuinuliwa Katika Unyenyekevu
Inapendeza kweli hasa pale watu wengine wanapokuthamini vile ulivyo. Ni jambo jema sana. Lakini tunaishi katika ulimwengu ambao watu wamevuka mipaka kabisa kwa swala la ...
-
Sehemu Maradufu
Najiuliza, sijui kama umeshawahi kujisikia kama mimi, yaani unamtumikia Mungu kwa nguvu zako zote huku ukijaribu kutenda mema kwa ajili yake … lakini ni kama inakuwa ngumu ...
-
Kutoridhiana
Hakuna mkamilifu, Mimi sijakamilika wala wewe haujakamilika. Hii inatuletea changamoto kama tumemwamini Yesu. Kwasababu ahadi yake ni kwamba tukiweka tumaini letu ...
-
Kuondoa Mzigo Mzito
Sisi sote tunabeba mizigo maishani na kuna wengine mizigo yao ni mizito ni mno. Wengine labda si mizito sana lakini hata hivyo mizigo iliyopo inaweza kumlemea mtu hata asiweze ...
-
Mambo Mungu Aliyoyaandaa
Ni ajabu namna mkusanyiko wa mambo madogo madogo – yanayotusumbua pamoja na matazamio ya wengine yanakua na kuwa makubwa kwenye maisha yetu. Haieleweki wala tusingetamzia ...
-
Je!, Umechoka?
Sisi sote tunaweza kuchoka mara kwa mara. Haijalishi una nguvu kiasi gani wala juhudi zile ulizo nazo kwa kawaida, tutafika mahala ambapo mambo yatatuzidi. “Je! Nina ...
-
Mkono wa Msaada
Je! Umewahi kumwona mtu maskini na mhitaji kabisa kisha ukajiuliza, Kwa nini watu wasimsaidie?…Kwa nini asisaidiwe na serekali au kanisa au hata mtu ye yote? Nadhani ...
-
Je!, Umechoka?
Sijui ukoje, lakini mimi ninamwamini Yesu. Kwahiyo, siku ile ya hukumu ambayo haina budi kutufikia sote, najua kwamba nitahurumiwa na Mungu. Lakini kuna wazo moja ...
-
Uwe Mwenye Upendo
Sasa, ni mara ngapi umehukumu na kutathmini kitabu fulani kwa kuangalia jalada Lake tu? Sitaki kukuhukumu, lakini nadhani kama ukisema ukweli, sio mara chache, au? ...
-
Imani Iliyo Hai
Mwanariadha mwenye uwezo ni mtu wa ajabu. Haijalishi anacheza pamoja na wengine katika timu au anashindana na mtu mmoja mmoja, lazima afanye mazoezi magumu mno ili aweze kuwa bora ...
-
Ustadi wa Kutokufanya Chochote
Acha nikuulize, je!, Kwa kipimo cha moja hadi kumi, wewe uko kwenye kiwango kipi. Je! Wewe ni mmojawapo wa wale wakiulizwa, “Vipi Mambo yanakwendaje?” unajibu ...
-
Tumia Akili Zako
Huwa kuna mvutano mkubwa kwenye maisha yetu katika yale Mungu anatutaka. Yaani ni vigumu kujua tutumie imani kiasi gani kufuata mawazo ya ajabu ajabu yanayotujia kichwani na kujua ...
-
Wito wa Mungu
Mtu yeyote aliyekusudia kumfanyia Mungu kitu anafahamu namna mwanzo unavyokuwa mgumu sana. Lakini kadiri mambo yanavyotengamaa ndivyo yanavyozidi kuwa bora, mafanikio yanaanza ...
-
Mungu Hashindwi Wala Hachoki
Hivi umewahi kujikuta unagaa-gaa kwenye matokeo ya makosa yako huku ukijiuliza utapitia wapi kupatoka?, Ni njia ipi utamrejea Mungu kwa utimilifu? Kweli, sehemu kama hiyo ...
-
Kushiba Mahali Pasipokuwa na Maji
Sisi sote tuna shauku kubwa kuridhika na nafasi yetu katika maisha haya; yaani kutoshelezeka vipindi vizuri na vipindi vibaya pia. Kuwa na amani inayodumu kupitia hatua zote za ...
-
Hisia, Shauku, Mihemuko
Maoni ya watu wengine, hususani wakiyatetea kwa nguvu (kama vile wanavyofanya siku hizi) yanaonekana kama yanazomea na kuzima ukweli wa Neno la Mungu, hadi imani ya Mkristo wa ...
-
Hofu ya Mauti
Wengi wetu hatupendi kuwaza sana kuhusu kifo. Ndiyo, kwa upande mmoja, tunajua hakika kwamba siku moja tutakufa. Lakini kwa upande mwingine, hatutaki siku hiyo ifike. Sisi sote ...
-
Heri Yule Anaye …
Jinsi tunavyowatazama watu wengine ndivyo inavyopelekea namna tunavyowatendea mara nyingi. Sasa jinsi tunavyowatazama wakati mwingine haijengi. Kwa hiyo naomba niulize, je! ni ...
-
Uwezo Ndio Uthibitisho
Sijui kama umeshaona jinsi ilivyo vigumu kuachana na tabia mbaya hata moja Kuacha kuvuta sigara, kuthibiti hasira zako za karibu, kukabiliana na mtazamo hasi unaoleta sumu ...
-
Sahau Yote, Isipokuwa …
Bila shaka, una mambo mengi yanayoendelea maishani mwako muda huu. Yanayopendeza na yanayohuzunisha pia, yaliyo mema na mabaya, yanayostarehesha na mengine yanayochanganya ...
-
Umefikia Wapi?
Siju ikama untaniruhusu nikuulize moja kwa moja lakini kwa upole, Umefikia wapi katika swala la imani yako ndani ya Yesu? Je!, uko kinyume chake kabisa, au uko vuguvugu tu, ...
-
Wateule
Laiti siku moja tungeinua macho yetu na kutafakari ulimwengu mzima na kujitambua kwamba sisi ni wadogo sana; jinsi sayiri yetu, yaani dunia hii inavyolizunguka jua kwa kasi, jua ...
-
Upumbavu na Udhaifu wa Mungu
Mimi binafsi ningependelea Mungu afuatane na matazamio yangU; na kutenda kama ninavyotaka,Wewe, vipi? Lakini kusema ukweli Mungu hafanyi hivyo hata kidogo. Kumbe, ...
-
Hekima Inayochanganya Watu
Sisi sote tunadhani kwamba tuna akili timamu; kwamba tunaweza kutafakari mambo na kuyachunguza ili tufikie maamuzi yaliyo sahihi. Sasa kigezo hicho, karibia watu wote wana akili ...
-
Shikilia Sana Msalaba
Sijui kama umeshawahi kuzalilishwa, kukataliwa na kudhihakiwa kwasababu ya kumuamini Yesu, lakini acha nikwambie, si jambo linalopendeza. Lakini hata hivyo, ukitafakari kidogo si ...
-
Kuwa Sahihi na Kuwa Mwenye Fadhii
Nadhani unafahamu inavyovunja moyo pale unapojua uhakika ya kwamba wewe uko sahihi lakini kuna mkorofi (samahani, lakini ndivyo mpinzani wako anavyoonekana, si kweli?!) akizidi ...
-
Wakati Mtu Anaishiwa Kabisa
Je! Umewahi kuwa na aibu kwasababu una kidogo tu cha kuchangia kwa mahitaji ya watu wengine, na kama wewe ni mtu wa imani, unajisikia vibaya kwasababu huna ya kutosha kutegemeza ...
-
Kuokolewa na Mkono wa Wasio Haki
Je!, Na wewe huchukii wakati wasio haki wanapata ushindi dhidi yako? linamtikisa mtu kwa ndani kabisa, ina leta maswali, “Mungu! Unafanya nini? Kwanini ...
-
Jinsi ya Kuwa Adui wa Mungu
Nikubalie kwanza tafadhali, nikuulize swali. Haijalishi unaamini nini kuhusu uwepo wa Mwenyezi Mungu na wa upendo pia. Kama kweli yupo, je! Ungependa kuwa adui wake ...
-
Je! Imani Yako Inazidi Kukua?
Je!, Mtu anawezaje kujua kama imani yake kwa Mungu inazidi kukua? Je! Inarudi nyuma au inabaki pale pale, au inapiga hatua mbele? Mtu atatumia kipimo gani ili ...
-
Kuwa Kama Beethoven
Mara nyingi sana vipawa na vipaji kutoka kwa Mungu ambavyo viliumbwa ndani yetu, watu wengine hawavioni wala hawavithamini, tena isitoshe, watakwambia usifanye yale Mungu ...
-
Uwezo wa Kufanana na Mungu
Bila shaka kuna siku utajisikia kuwa mshindi kabisa, kuwa juu, Kuna siku zingine utajisikia kama huna nguvu hata kidogo. Labda siku za unyonge ndizo nyingi kulizo siku za ushindi. ...
-
Ubia Wenye Nguvu
Ni nani asiye na nia ya kuishi maisha bora? Maisha iliyowekwa huru na makosa aliyoyafanya zamani, maisha yanayoweza kutikisa ulimwengu kwa kuleta mema. Yaani ni shauku ya ...
-
Jukumu Linalotisha
Ni kama kanuni kwenye ulimwengu huu kwamba kila baraka inakuja na jukumu lake. Kwahiyo, kama wewe ni tajiri, ni jukumu lako kuwasadia maskini. Ikiwa wewe unamwamini Yesu kama vile ...
-
Halafu Siku Ile …
Nafikiri wengi wetu tunaona kama kutoa mahesabu ni jambo jema. Kila mtu anapaswa kuwajibika kwa mwenendo wake. Lazima thawabu ziwepo kwa ajili ya mema na adhabu kwa ajili ya maovu ...
-
Siku Ile Inakuja
Hukumu ya Mungu iwakayo moto si jambo ambalo watu wanataka kuliamini. Ni dhana isiyoeleweka pale mtu anapofikiri habari za Mungu wa upendo … Tena hakuna mtu anayependa ...
-
Kipimo Sahihi cha Tabia ya Mtu
Kuna wakati maisha pale mtu anapobanwa sana, mambo yakipamba moto kabisa. Wakati anajisikia kwamba kuna ukosefu wa maji ya uzima Yesu aliyoahidi. Sehemu kama hiyo, kumbe inaweza ...
-
Ukristo wa Starehe
Acha nithubutu kukwambia kwamba hakuna “Ukristo wa starehe”. Yaani, “Ukristo” na “starehe” ni maneno mawili yasiyoendana. Kama wewe ...
-
Je!, Mtu Anaweza Kujua Kweli Kweli?
Wakati unakosea – namaanisha unapokosea san asana, – unaweza kuamini kwamba Mungu atakusamehe kweli?. ni jambo gumu kupokea msamaha huo; yaani kujisamehe mwenyewe. Juzi ...
-
Alilipa Deni Langu
Viwango vya riba huwa vinapanda na kushuka, kiwango kikiwa juu inakuwa vigumu kwa waliochukua mkopo na wana madeni kuweza kulipa. Na ni huzuni kwasababu kuna wengine ...
-
Kupekua Maandiko
Niliona kikombe cha kunywea chai au kahawa kikiuzwa mtandaoni kikiwa na maandishi mazuri sana, Kusema ukweli nilitamani kukinunua! Labda ni utani unaohuzunisha kwasababu leo kuna ...
-
Kuwa na Moyo wa Uchunguzi
Hivi, umewahi kujaribu kuondokana na hali ya kufuata utaratibu ule ule siku zote bila kubadili wala kufikiria? Wanasema kwamba alama za magurudumu ya magari katika tope ni kama ...
-
Kukubali Neno la Mungu Kama Lilivyo … au La
Kwa mtazamo wa haraka-haraka, ni kama kuna vipengele vingi ndani ya Neno la Mungu ambavyo vinaonekana vinaenda kinyume na dhana za kisasa. Ikitokea hivyo, basi inabidi ...
-
Nadharia Yahusuyo Mkokoteni
Labda utafikiri kwamba nimechanganyikiwa lakini mimi naona kama swala la kurudhisha mkokoteni mdogo ni mtihani unaompima mtu kuona kama anaweza kufanya yaliyo haki. Kwasababu kama ...
-
Upevu wa Kweli
Sijui ukoje, lakini mimi sipendi kuona watu wanaumizana. Kuna wakati wanafanya makusudi, kuna wakati si kwa makusudi, Lakini kwa vyovyote vile, sisi binadamu huwa kuna ...
-
Ninavyofikiri Mimi
Kila mtu ana maoni yake kuhusu mambo mengi tu. Kuhusu yaliyo mema na mabaya, kuhusu siasa, kuhusu watu mashuhuri. Tuna maoni ya kukosoa wake zetu, waume zetu, majirani zetu. ...
-
Mbeleni Kuna Siku za Furaha
Kumbe!, Imeshakuwa Jumapili na ninatumaini kwamba tumetenga muda wa kumwabudu Mungu na kupumzika pia, jambo linalohitajika kwa mwanadamu. Halafu Jumapili hii, ninawiwa ...
-
Ikiwa Unaamini, Basi …
Sijui kama ninaweza kukuuliza juu ya yale yaliyotokea wiki hii tunayoimalizia, je! Ni mawazo gani niliyokuwa nayo, ni maneno gani niliyoyatamka, ni mambo gani niliyoyafanya ambayo ...
-
Kurejea Habari za Ayubu
Ni rahisi kuwa na matumaini ya siku zijazo pale mambo yote yanapokuwa shwari. Lakini pale mamno yanapokwenda tofauti mtu anaweza kukatishwa tamaa na kufa moyo. Na hali hiyo ni ...
-
Una Matumaini Kiasi Gani?
Hivi, utaniruhusu nikuombe utulie dakika moja na kutathmini namna unavyojisikia sasa hivi; yaani hali ya hisia zako. acha nikuulize tena, Je!, Unatumaini kiasi gani … yaani ...
-
Sichangamki, Wala Sifurahii, Nipo Nipo Tu
Kuna siku umaamka na huchangamki. Hata mimi pia huwa ninaamka hivyo. Tunafahamu kwamba yatupasa kujaa furaha ya Bwana, lakini … hatuchangamki. Sasa itakuaje? ...
-
Kupanua Upeo wa Macho Yako
Unapomfanya mtu kosa ambalo linaweza kusababisha ubebe matokeo mabaya lakini mtu akaamua kukusitiri, unajisikiaje hapo!? Ni swali linalovutia, si kweli? Tunafahamu adhabu ...
-
Bahili au Mkarimu?
Wengi wetu hatujioni kuwa matajiri. Inategemeana na mazingira yako, lakini inawezekana unajiona kuwa mtu wa kawadia, sio maskini lakini pia … si tajiri. Lakini ...
-
Ndani ya Meli ya Titanic
Labda umeshasikia habari za meli iitwayo Titanic. Wakati inatengenezwa zamani na kuingizwa majini tarehe 10 mwezi Aprili, 1912 watu walidai kwamba haiwezi kuzama; tena ...
-
Ni Nani Atakayekwenda Mlangoni Kuangalia ni nani Anayebisha Hodi?
Kuna siku nguvu za Shetani zinazokushawishi kwenda njia isiyofaa zinakuwa kama kubwa kuliko uwezo wako wa kumpinga hata kuliko uwezo wa Mungu kumzuia. Ndivyo inavyokuwa. Mvutano ...
-
Kutilia Mashaka Neno la Mungu
Siku hizi ni rahisi sana kushawishika na kuanza kutilia mashaka Neno la Mungu; kufuta mistari inayotukera na kutusumbua ndani ya Biblia ili iweze kupendeza zaidi na kwenda ...
-
Unamfuata Nani?
Ni lini tuliamua kwamba hisia zetu zikichanganywa na maadili yanayooza ya dunia hii ndivyo tutakavyoweza kusadikisha au kubatilisha ukweli wa Neno la Mungu? Hii imetokeaje? ...
-
Mahali Unapokimbilia Mara Moja
Jaribu kufikiri kwamba, uko ndani ya mtumbwi halafu dhoruba inakuja ghafla. Upepo mkali unavuma, mawingu yanajikusanya, mawimbi yanaanza kuyumbisha mtumbwi wako … ...
-
Usijichoshe Kupita Kiasi
Inaonekana kwamba njia ya kupiga hatua katika maisha ni kuvutia watu, yaani kuwashawishi kwa uzuri wetu na akili zetu. Ndio maana mara nyingi wanasema mtu “amejivika na ...
-
Si Kujitupa Gizani
Kwa yule aliye nje ya imani, anaweza kufikiri kwamba kuamini kwamba huyu Yesu ni Mwana wa Mungu ni hatari. Wengi wanafikiri swala zima la imani ni kama mtu kajitupa gizani bila ...
-
Kwa Tahadhari
Kuishi kwenye si rahisi siku zingine. Kuna mambo mengi yanakusanyikia juu ya ndoa ili ivunjike – mfano, ule uongo unaosema kwamba kupeana talaka ni kawaida, ni hiari ya mtu, ...
-
Je!, Watu Wanaweza Kukuamini?
Swali ninalokwenda kukuuliza labda litakusumbua, Je!,Wewe ni mwaminifu? Au tuulize swali lingine ambalo yamkini ni muhimu zaidi, je! Familia yako inaweza kukuamini?, ...
-
Kupanga Uelekeo
Najiuliza hivi, unapotathimini unatathmini afya ya familia yako kihisia na kiroho, unagundua nini? Unafurahi kwa hali yao au ni kitanzi kinachotokea machoni pako? Tulipokuwa ...
-
Kuvunja Pingu za Kale
Ni kitanzi kikubwa pale dhambi inarithiwa kizazi baada ya kizazi, Mtoto wa mlevi atakuwa na mwelekeo wa ulevi kuliko watoto wengine. Mtoto aliyedhulimiwa pia, akiwa mtu ...
-
Familia Kamilifu
Bila shaka umewahi kuwaza mara kwa mara: “Laiti familia yangu ingetengamaa kama familia zingine!” Najua umewahi kufikiri hivyo, kwa sababu bado tunaamini hadithi ile ya ...
-
Familia Iliyovurugika
Unaweza kuwasikiliza wahubiri kama tulivyoongea habari ya familia kamilifu ya kikristo na namna inavyopaswa kuwa. Lakini je!, Itakuaje kwa familia zilizovurugika? Itakuaje kwa ...
-
Maswala ya Familia
Itafikia wakati kila mmoja wetu atapaswa kuamua mwenyewe kama atamwamini Yesu na kumtumikia kama Bwana wake au kumkataa na kufuata njia yake mwenyewe. Hakuna njia ya katikati. ...
-
Kukaa Bila Kuoa au Kuolewa (2)
Leo ninataka kukushirikisha jambo la maana sana kuhusu wao wanaoendelea kukaa bila kuoa au kuolewa. Labda wewe si mmojawapo lakini bila shaka unafahamiana na mtu wa namna ...
-
Kukaa Bila Kuoa au Kuolewa (1)
Hata kama watu karibu wote wanafunga ndoa, si wote wanaendelea kudumu kwenye ndoa zao. Kinachonihuzunisha ni kwamba, wengine wanawaangalia na kujiuliza kama wana tatizo au ...
-
Mahusiano ya Wasiwasi
Ukichunguza dunia ilivyo leo, tukiwa na mitambo na vyombo vinavyoshikika mikononi na vyenye uwezo mkubwa kuzidi kompyuta kubwa za zamani, imekuwa rahisi sana watu kutokuwa ...