... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kufanywa Upya Nia Zako

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favourites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Warumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

Listen to the radio broadcast of

Kufanywa Upya Nia Zako


Download audio file

Je!  Utaniruhusu nikikuuliza ni yapi yanayotawala mawazo yako?  Ni fikra gani zinazorudia-rudia kichwani?  Kutafakari maswali yangu ni zoezi ambalo lingedhihirisha mengi.

Wengine wanawaza sana habari ya pesa, yaani uthabiti wa uchumi.  Wengine wanawaza habari ya mahusiano.  Mawazo yetu yanalenga matamanio ya kupata ajira.  Muda huu huu ni wazo gani linayotawala na kuongoza fikra zako?

Kweli, kwa mtu anayemwamini Yesu na kumpenda Mungu, ni changamoto kugundua kwamba mawazo yake mengi yako kwenye vitu anavyotamani, vitu vya dunia hii badala ya kulenga yale Mungu anayataka

Warumi 12:2  Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

Je!  Mungu anataka nini kwako?  Inawezekana kuna mchanganyiko wa mabonde na milima njiani mwako. 

Kwa hiyo, kama umegundua kwamba mawazo na matamanio yako yanakupeleka mbali na Mungu, ujue kwamba leo anakuita urudi.

Ugeuzwe kwa kufanywa upya nia yako.

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.