-
Christianityworks
In Depth Weekly Bible Teaching: Join Berni Dymet as he opens God's Word to discover what God has to say into your life, today. Watch, listen or read. Whichever works best!
-
FRESH Daily Devotional
Daily 3 Minute Video Devotional taking you deeper into God's Word + closer to Jesus. Watch, listen or read. It's your choice. Even subscribe to receive it daily to your inbox!
-
A Different Perspective
Daily 10 Minute Message exploring issues we all face in life ... from a different perspective; the sorts of things that really matter day-to-day. Listen or read. It's up to you.
-
The Faces We Wear
We all put on different faces from time to time. Sometimes knowingly and sometimes without even realising it. Now the problem is that the face is supposed to reflect the heart. ...
-
Dealing with Difficult People
There’s one thing about other people. They’re everywhere and we just can’t get away from them. At home. At work. At church. They’re there. And sometimes, they’re ...
-
Dealing with Difficult People
If you haven’t noticed there are people everywhere. It’s hard to get away from them sometimes. And some of those people are difficult to deal with. Turns out that they can ...
-
Love Is (2)
We live in a go, go, go, hectic, run at a million miles an hour kind of world these days. And the busier and more connected that we become, the harder it is to remember what ...
-
Jinsi Unavyowatendea Wafanyakazi Wako
Mtu awaye wote aliyekuwa na majukumu ya kuongoza watu wengine anafahamu kwamba ni kazi ngumu. Kuna wakati watu wanakuangusha kabisa. Vile vile, hauna budi kukosolewa. Kwa ...
-
Kumbuka Thawabu Yako
Kujaribu kuvutia watu wengine bila shaka kunaweza kumletea mtu thawabu ya muda mfupi. Ukimpendeza bosi yako yamkini unaweza kuongezewa msharaha au kupanda cheo au vyote ...
-
Je! Bado Unajaribu Kuvutia Watu Wengine?
Haijalishi tunavyofikiria kwamba tu wanyenyekevu kiasi gani, bado kuna kishawishi kilichofichwa kwenye kiini cha mioyo yetu kinachotwambia kwamba ingependeza sana kama sisi ...
-
Kiburi cha Kishetani
Je! Shetani amewahi kukushawishi na kukujaribu moja kwa moja ufikirie kwamba wewe unaweza kuwa mtu maarufu, mtu aliyefanikisha mambo yake vizuri? Ujue kwamba si wewe tu ...
-
Kiburi Kinaharibu
Je! Unapenda kuishi au kufanya kazi na mtu mwenye kiburi? Au labda umezungukwa na wenye kiburi zaidi? Haipendezi kwa kweli. Bila shaka, mtazamo unaoleta uharibifu kuliko ...
-
Uwezo Ndani ya Maswali
Laiti maisha yangekuwa sahili … lakini sivyo ilivyo. Maisha mara nyingi ni ya fujo, ni gumu kufahamika. Hisia za watu, zetu zikiwemo, ni kigeugeu. Mara nyingi ...
-
Je! Mungu Bado Anatuadhibu?
Acha nikuulize, je! Mungu bado anaadhibu watoto wake? Wakati unafanya kosa na unajua ni kosa, je! Bado anachukua fimbo yake kubwa na kukuchapa mkono? Ni swali zuri la ...
-
Love Is (1)
We live in a go, go, go, hectic, run at a million miles an hour kind of world these days. And the busier and more connected that we become, the harder it is to remember what ...
-
Dhana Inayochukiza Sana
Haijalishi unaishi chini ya mfumo gani wa serikali, siku hizi sote tunatamani kuwa huru, kuamua sisi wenyewe tutakavyokuwa bila watu wengine kutwambia yatupasayo kuyafanya. Shauku ...
-
Wakati Unapata Shida
Maishani, kuna wakati ni muhimu sana kusimama kidete juu ya ahadi zake Mungu. Daima ni muhimu kufanya hivyo lakini hususani wakati wa shida. Je! Ni lini uliwahi kukumbana ...
-
Waliotangulia
Katika ulimwengu huu unaosukumwa kasi na teknolojia, ambapo mtu anaweza kuagiza chakula cha jioni kwa kutumia simu yake janja halafu kilaletwa kwake nyumbani baada ya nusu saa, ...
-
Nuru Inayoangaza Moyoni Mwako
Unajua wakati kitu fulani kimekuchanganya muda mrefu sana, yaani unajua kitu hakiko sawa lakini bado hujakielewa ni nini, halafu ghafla, kinaeleweka kwako … ni kama taa ...
-
Je! Umefungua Karatasi ya Kufungia Zawadi Yako?
Ebu fikiria ingekuaje kama siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwako, tuseme miaka 20, 30 au 40, yule ambaye anakupenda zaidi anakupa zawadi iliyofungwa vizuri kwa mapambo ya ...
-
Kuna Nguvu Katika Ahadi Ile
Je! Ni lengo gani Mungu aliyeweka mbele yako tangia leo hadi siku utakapovuta pumzi kwa mara ya mwisho? Kwa nini amekuacha uendelee kuwepo hapa duniani badala ya kukupeleka ...
-
Kumbuka Ahadi
Back in the days of old, the only sort of boats that existed were sailboats. Intrepid sailors criss-crossed the globe, crossing great oceans to discover new worlds, powered by one ...
-
Get out of Jail Free
Sometimes in life – things go wrong – a relationship, our work, money problems, kids….it’s a pretty long list. And when they do, it seems like nothing else ...
-
Acha Uzima Uanze
Kristo amefufuka! Amefufuka kweli kweli! Ni kiitikio cha zamani cha Wakristo kupitia makarne mengi. Ni kelele za shangwe. Lakini, je! Ina maana yo yote kwetu baada ya ...
-
Kushindwa
Jumamosi kati ya Ijumaa Kuu na Jumapili ya Pasaka. Siku hiyo tunaifanyaje? Ni kama hakuna kilichotokea kati ya matokeo yaliyotisha ya Ijumaa Kuu na mambo ya ajabu mno ...
-
Alikubali Hayo Yote Kwa Ajili Yako
Sasa tumefikia siku ile inayoitwa “Ijumaa Kuu”, tukikumbuka tukio linalotisha, lisilotazamiwa ila wewe na mimi tutendewe jambo la ajabu mno lisilotazamiwa. Kama tumekuwa ...
-
Ahadi Kubwa Sana
Yesu alitamka maneno ya kushangaza, maneno yasiyotazamiwa. Kila wakati mtu anasoma habari zake katika Injili, hawezi kukosa kumshangaa. Siku hizi chache tumeona jinsi wanafunzi ...
-
Hatimaye, Unajikwaa
In just a couple of days we’ll be commemorating that terrible day, “Good Friday”, when Jesus was nailed to that Cross for all to see. How could that possibly have been ...
-
Licha ya Kusudio Lako Bora
Ni vizuri kuwa na makusudio mema, lakini kuyatekeleza ni swala lingine kabisa. Hakuna mwanadamu anayeishi leo ambaye hakuanza safari akiwa na malengo mazuri, lakini akajikwaa ...
-
Hisia ya Kuwa na Hatia
There are many obvious things about each one of us that are there naturally because they’re encoded in our DNA; handed down from generation to generation. But there’s another ...
-
A New Life in Jesus
For most of us, Easter just comes and goes. We’ve done it before…. lots of times. We know the story. We know how it ends. Of course, we know it’s important – the ...
-
My Redeemer Lives
Most of the time, when it comes to this whole Easter thing, the bit we remember most is the bit where Jesus died on the Cross, to pay for our sin. And that’s certainly a ...
-
Roho Mtakatifu Anaondoka na Kutoka Ndani ya Jengo
Swali: Kuna utofauti gani kati ya kufuata amri na kanuni na kumfuata Yesu? Ni kama hatuwezi kutii amri barabarani, lakini kumfuata Yesu kumbe kunabadilisha mambo yote. Hii ...
-
Kuachana na Maisha ya Uhalifu
Mtu akichunguza vizuri jinsi serekali zetu zinavyopanga sera na kuzipitisha, karibu mara zote ni kukabiliana na matukio tu. Mtu anafanya kitu ambacho hawapendi, mara moja ...
-
Tafsiri Halisi ya Kushindwa
Je! Umewahi kujitahidi sana na kujinyima mengi ili uweze kutimiza lengo fulani halafu ukishafanikisha, unakuta kwamba kumbe, bado kuna pengo, bado hujaridhika, kwamba mafaniko ...
-
Mpango Kwa Ajili ya Kesho
Si ajabu hii, kwamba hata kama tunajua ya kuwa siku moja tutaondoka kutoka maisha haya na kuingia maisha mengine, kila siku tunafikiri na kutenda kana kwamba tutaishi hapa duniani ...
-
Bila Faida Yoyote
Mvuto wa vitu vyote ambavyo vinanunuliwa kwa pesa ni kama unaongezeka kila siku. Yaani mfumo wetu wa uchumi umezidi kuwa stadi kwa jinsi unavyotutenganisha na pesa zetu ...
-
Mambo Ambayo Yesu Hakusema
Leo, ulimwengu unataka kutwambia kwamba lengo kuu la mwanadamu ni kuishi maisha mazuri na kufurahi. Ni sawa, kwa sehemu, lakini lengo hili lina hatari fulani. Ukiniuliza kama ...
-
Kuirudisha Nuru ya Imani Yako Kama Vile Katika Kioo
Imani yetu,.. yako na yangu, haiwezi kuwepo nje ya mazingira yetu wala nje ya umma na yote yanayoendelea mahali tulipo. Hata kidogo. Imani ilikusudiwa kuwa sehemu ya maisha ya ...
-
Times of Refreshing
Life can be a grind sometimes. What we really want is some time of refreshing. Like jumping into a cool swimming pool on a hot day. Join Berni Dymet as he looks at ...
-
Barua Yako ya Ushuhuda
Swali linalokuja haraka: Je! Wewe ni tajiri kiasi gani? Kwa sababu kama unayo mahitaji ya msingi – maji, chakula, nyumba – basi hata ukijipimaje, wewe ni tajiri kuliko ...
-
Utajiri Wake Katika Utukufu
Katika ulimwengu huu unaozidi kutajirika, inatuwia vigumu zaidi kutenganisha matamanio yetu na mahitaji yetu. Mara nyingi, hasa wakati tunaomba, tunachanganya hayo mawili. Hapa ...
-
Kuridhika Nafsini Mwako
Kuridhika. Kutoshelezeka. Kutimiziwa. Maneno hayo matatu yanaeleza habari ya ustawi ambao kila mmoja wetu anautafuta kwa hamu kubwa … lakini wengi hawaufikie kabisa. ...
-
Tazamia Kuona Mambo Makuu
Najiuliza mara kwa mara kwamba wakati tunaomba, mara ingine tunamwendea Mungu na matazamio yaliyo hasi. Je! Ananisikia kweli? Je! Ananijali? Je! Yupo kweli kweli? ...
-
Usiufiche Msalaba
Kuna sababu moja inayonisukuma kufanya ninayoyafanya, inayoniamsha kila siku nitoke kitandani. Ni shauku endelevu kuwaambia watu wengi iwezekanavyo habari za Yesu. ...
-
Upendo Haupungui Neno Wakati wo Wote
Wewe na mimi tunao tabia kulenga mambo ambayo hatimaye hayana maana sana. Sasa kama hatimaye hayana faida, inabidi mtu ajiulize, je! Kwa nini niyape kipaumbele sasa? Nina ...
-
Neema ya Ajabu Mno
Neema inapatikana kwa nadra sana siku hizi. Mfumo wa ulimwengu huu unatazamia kwamba kila mtu atafanana na wengine, kwamba atakuwa na mchango wake katika jamii. Yaani ...
-
Unlocking the Power of Prayer (Pt 3)
Prayer that yields powerful results is normal in God’s sight. That’s the amazing truth that we discover when we look at what God says about prayer in His Word. So – ...
-
Uhakika na Bayana
Si unapenda kukutana na watu jasiri ambao wana hakika ya mambo, wakijiamini. Ukikaa nao, mara moja utaanza kujisikia kwamba na wewe si mtu wa mashaka tena. Je! Ni kipi ...
-
Mimi Mwenye Hamaki, Wewe Mwenye Hamaki
Kuna siku mimi ni mwenye hamaki, kuna siku hata wewe unakuwa mwenye hamaki. Sote tunaweza kuwa wenye harara. Natumaini kwamba hali hiyo haitokei mara nyingi, lakini hua ...
-
Uungojee Msaada Wake
Zamani wakati nilikuwa jeshini, tulikuwa na msemo, “Wahi upate kusubiri.” Ni kama walituwahisha kwenda sehemu tusichelewe, lakini baada ya kufika eneo husika, tulisibiri ...
-
Jinsi ya Kuwa na Nguvu
Ni kweli kinzani kwamba wakati tunahitaji nguvu zaidi, ni pale tunapojisikia kuwa wadhaifu kabisa. Ni wakati nguvu zimetuishia, ndipo tunayozihitaji zaidi. Yaani, inasumbua ...
-
Chombo Kinachomfaa Bwana
Mkono wa Mungu uokoaye ni mada endelevu katika Agano la Kale, hata Agano Jipya. Hii ni habari njema. Habari njema kabisa, kwamba tukipata mateso, Mungu yu nasi ili atuyavushe. ...
-
Acha Tabia ya Kupenda Kucheza na Hatari Hadi Karibu Kabisa
Tukiwa watoto, tunawachezea wazazi na kuwajaribu ili tutambue mipaka yao na jinsi tunavyoweza kuwaendesha, tukipima kuona ni wapi tunapoweza kufikia katika fujo yetu. Ni sehemu ...
-
Usimpe Ibilisi Nafasi
Sijui kama umeshagundua hili, lakini duniani kuna mambo mengi sana ambayo yangetukasirisha kila wakati. Wakorofi, mambo ya siasa, mazingira magumu, mitazamo ya watu, yapo mengi ...
-
Unlocking The Power of Prayer (Pt 2)
Prayer that yields powerful results is normal in God’s sight. That’s the amazing truth that we discover when we look at what God says about prayer in His Word. So – ...
-
Zichukie Dhambi Zako
Ni ajabu jinsi tunavyowahukumu watu wengine tukikosoa mienendo yao mibaya wakati hatuoni madhaifu na mapungufu yetu. Bora tungechukia dhambi zetu kama vile tunavyochukia dhambi ...
-
Uwe Tofauti na Umati wa Watu
Ni huzuni kuikiri, lakini nikikagua moyo wangu, naona kwamba mara nyingi sana, nimekuwa na hisia za kudai haki zangu kila mara. Ni tabia niliyoirithi kwa kuwa nimezamishwa ...
-
Upendo Huvumilia …
Mimi binafsi sikubaliani na dhana ifuatayo inayosema, “Kwa nini kutamka habari kwa maneno sita wakati mtu angeweza kutumia maneno sitini?” Lugha ya madoido pengine inaweza ...
-
Tafuta Hekima Mapema
Je! Unakumbuka wakati ulikuwa bado kijana na jinsi ulivyopumbazika mara kwa mara? Mimi ninakumbuka vizuri sana mambo ya upumbavu niliyoyafanya nikiwa kijana Balaa mojawapo ...
-
Kisasi Kizuri
Mtu akikudhulumu au akimdhulumu rafiki yako, halafu hasira yako ikipanda mpaka kugadhibika, je! Ni kitu gani unachotaka kufanya kuliko vyote? Kujilipiza kisasi. Ingekuwa ...
-
Matendo Makuu ya Mungu
Je! Umewahi kuwa na shauku ya kutenda jambo “kuu” kwa ajili ya Mungu? Je! Umewahi kuota ndoto kwamba ametenda makuu maishani mwa watu wengine kupitia wewe? Lakini kwa ...
-
Ulimwengu Bila Upendo
Tujaribu kufikiria ulimwengu bila upendo. Inatisha, si kweli? Lakini kwa watu wengi, hawana haja kufikiria sana kwa sababu tayari maisha yao yamekosa upendo kabisa. Leo hii, ...
-
Unlocking The Power of Prayer (Pt 1)
It’s funny that survey after survey shows that 75% of all people have prayed in the last month. And yet most of them would never admit it. What’s prayer all ...
-
Unlocking the Power of Prayer
So often, we see things happening in people’s lives and we feel so helpless. ‘The problem’s so big, so daunting….I can’t possibly make a difference. I guess if ...
-
Thibitisha Mafanikio Yako
Leo tunataka kuongea kuhusu mada ya mafanikio. Mafanikio yako katika ufalme wa Mungu. Kama una mashaka, ni vizuri, kwa sababu ukimsikia mtu akichanganya Neno la Mungu na ...
-
Iwe Nuru
Kuna mara maisha inakuwa kama kitendawili. Yaani yale yote yanayoendela maishani mwako, moyoni mwako, katika familia yako, pale unapoajiriwa … mara ingine hayaeleweki ...
-
Ni Yapi Yaliyo Mema?
Tunaishi katika ulimwengu wenye utofautishaji kabisa. Weusi na weupe. Warefu na wafupi. Matajiri na maskini. Vijana na wazee. Lakini kilicho muhimu kuliko vyote ni hiki: ...
-
Ondokana na Uovu Wako
Inaonekana kwamba kuna njia moja tu ya kujiepusha kabisa na uovu unaotawala ulimwengu huu na kuenena kila sehemu ya maisha. Ni kujitenga kabisa na kuishi peke yako. Hmm. Au ...
-
Utamjua kwa Kumtii
Lazima mtu ajihadhari na watu wanaojidai kwamba wao wamepata kufunuliwa jambo ambalo wengine hawakulipokea. Lakini sisi Wakristo, ndivyo tunavyodai; kwamba tumepewa ufunuo ...
-
Tuendelee Hadu Tufikie Makuu
Mateso yakikupata, je! Umejiuliza kama Mungu mwenyewe alisababisha yatokee? Je! Msiba ule uliweza kupenyeza bila yeye kujua au daima ulikuwa sehemu ya mpango ...
-
Wakati Mtu Anajua Hakika
Have you ever wondered why God, in His wisdom, chooses to say the same thing in His Word over and over again? It’s a question I’ve asked myself often. Why would He do that? I ...
-
Spirit and Word
It’s amazing but when you think about it God left two things of Himself behind for us on this Earth. Of course He owns all creation – but the two things of Himself that ...
-
Mashtaka ya Shetani
Katika Neno la Mungu, Shetani anaitwa Ibilisi na Mshitaki. Lakini je! Umewahi kufikiri kwamba angeweza kuthubutu kumshitaki Mungu? Kwa kweli alifanya hivyo ...
-
Mwachie Bwana Nafasi ya Kutenda
Ebu fikiria kana kwamba unachimba alimasi. Mwezi baada ya mwingine unajichosha kabisa na kukatishwa tamaa na kazi ngumu mno bila mafanikio. Hamna kitu. Kwa hiyo, ...
-
Bwana Atakulinda
Zamani, dhana ya kwamba mfalme anapaswa kuwa kwanza mtumishi ilikuwa haipo kabisa. Kusikia maneno hayo mawili katika sentensi moja ni wakati mtu anaeleza habari ya ...
-
Huzuni Yako Itageuka Kuwa Furaha
Mungu ni bingwa wa kubadilisha misiba yetu mikubwa imletee ushindi mkubwa. Hakuna msiba mkubwa katika historia kuliko kuona maiti ya Yesu ilivyotundikwa pale msalabani. ...
-
Uwe Makini kuchagua Rafiki Zako
Je! Washauri wako wa karibu ni akina nani? Kama umeshafunga ndoa, naamini kwamba mshauri wako wa kwanza ni mwenzako. Lakini wengine walio karibu nawe, vipi? ...
-
Usijipendeze Mwenyewe
Zamani hizi za kujipendeza, wakati watu wengi wanatetea haki zao, ni rahisi sisi nasi kuanza kufanana nao. Lakini tusidhani kwamba hili ni jambo jipya la kushangaza, hapana. ...
-
Ahadi Zake ni za Kweli
Swali: Je! Mungu ni wa kutegemewa? Unajua, ametoa ahadi nyingi sana katika Neno lake. Zingine zinaonekana kuwa za ajabu-ajabu katika pirika-pirika za ...
-
The Holy Spirit and Me
So many people live out a spiritually parched existence and all along God has a plan – a plan of power, a plan of peace, a plan of intimacy, a plan……of abundant life. ...
-
Uwe na Huruma
Ulimwengu huu tunamoishi unamashindano mengi sana. Watu wanapiga kelele wakigombania vyeo, ajira, kuinuliwa, kujulikana n.k. Kwa kweli ni ulimwengu wa vurugu kwa jinsi watu ...
-
Uwe Hodari
Achani kuulize, je! Unatazamia nini kwa maisha yako ya baadaye? Naamini kwamba unayo mipango mizuri kwa ajili ya mwaka huu ambao tumeuanza hivi karibuni. Sisi ...
-
Msijisumbue kwa Neno lo Lote
Muda huu, yote yaliyotokea katika maisha yako hadi sasa, yameshapita kabisa. Huwezi kuyarudia, lakini unaweza kuyaruhusu yaendelee kukusumbua. Sijui kama umewahi kufikiri, ...
-
Kuwa na Subira Wakatiwa Mateso
Ni matatizo gani ambayo unapambana nayo muda huu? Ni kipi kinachokutafuna na kupunguza hamu ya kuendelea kuishi? Je! Utwambie, unakabilianaje na matatizo yako? ...
-
Wewe niwa Kabila Gani?
Tangu enzi za kale, binadamu wamejigawa katika makabila – kufuatana na jiografia, utamaduni, rangi ya ngozi, siasa na hata ushabiki wa timu ambayo tunapenda kusapoti. Kanuni ...
-
Changamoto ya Kuthibiti Mambo
Njia bora ya kuhakikisha kwamba mambo yaende kama unavyotaka wewe, hata kama ni mambo ya namna gani, ni kuyathibiti. Hii ingekuwa jibu. Kuthibiti kila kitu lakini maisha ...
-
Hatua Tatu za Maisha
Kejeli inayohusu mali ni kwamba inaweza kuanza kumtawala mtu kwa urahisi kabisa. Yaani baraka zile ambazo Mungu ametukirimia kwazo kwa ajili ya manufaa yetu tuweze ...
-
Walking in the Spirit (Pt 2)
Many people have heard the term “Walking in the Spirit”. That would be awesome wouldn’t it? I mean it sounds great. But exactly what does it mean to “walk in ...
-
Kujua Mapenzi Ya Mungu
Ungonjwa mmoja mbaya uliopo kati ya watu wa Mungu sehemu nyingi duniani ni kukosa kujua Neno lake. Kwa upande mmoja, watu wana shauku kutambua mapenzi ya Mungu kwa ajili ya ...
-
Usiuinamie Uovu
Siku hizi, ulimwengu unazidi kujaribu kutulazimisha sisi watu wa Mungu, kuinamia uovu; kuacha kuukemea, tuukubali, hata kuupongeza. Halafu matokeo kwa wasiotii, yanazidi ...
-
Panga Vilivyo Kipaumbele
Je! Ni mara ngapi unavyotafakari vilivyo kipaumbele? Ni mara ngapi unapima mambo kichwani na moyoni pia ili yakusaidie kuamua kilicho muhimu zaidi? Je! ...
-
Kusubiri Mafanikio Mapya
Sio rahisi kuvuta subira hadi Mungu akupe mafanikio mapya katika maisha yako, popote pale panapohitajika mabadiliko, ni vigumu mno. Halafu, kadiri hitaji lako linalokuwa ...
-
Furahi na Ulie Pia
Kuna utafiti uliyofanyika ambao unatisha sana. Kwa wastani, tutatumia karibia miaka 17 ya maisha yetu kwa kutazama skrini za simu zetu za mikononi. Ni masaha 145,800 ...
-
Zitupilie Mbali Dhambi Zako Zilizo Sirini
Kupitia miaka isiyo michache, tumeshuhudia, wewe na mimi, viongozi wa Kikristo wasio wachache huanguka dhambini. Anguko lao hao wote limeanzia sirini, katika dhambi ...
-
Bwana ni wa Milele
Wewe na mimi, tunaishi maisha ya kila siku tukipambana mara nyingi na mambo madogo madogo. Si vibaya, ndivyo maisha yalivyo. Lakini kuna hatari: tunaweza kuzama ...
-
Walking in the Spirit
Many people have heard the term “Walking in the Spirit”. That would be awesome wouldn’t it? I mean it sounds great. But exactly what does it mean to ...
-
Walking in the Spirit (Pt 1)
Many people have heard the term “Walking in the Spirit”. That would be awesome wouldn’t it? I mean it sounds great. But exactly what does it mean to “walk in ...
-
Bwana Awezaye Kufanya Mambo ya Ajabu
Wakati mtu anafirisika kabisa, hali ambayo inayoweza kumpata kila mtu maishani mwake, kinachoumiza zaidi ni kwamba atakuwa amekatishwa tamaa kupita kiasi. Wakati mtu anakufa moyo ...
-
Tumaini Lako Liwe Ndani ya Bwana
Rafiki anayekuonekania wakati wa tatizo ni rafiki kweli kweli. Kweli hakuna jambo jema kama kuwa na mtu ambaye unaweza kumtegemea, mtu ambaye anakutetea, mtu anayekupenda na ...
-
Bwana Ndiye Akupaye Nguvu
Sijui kama umewahi kushuhudia jinsi watu wengine wenye nguvu za kiroho katikati ya dhoruba na tufani za maisha, halafu wengine wanapeperushwa huku na huko kama vile mti unapelekwa ...
-
Bwana Ndiye Akupaye Nguvu
Wakati kila jambo linatupinga, wakati mgogoro, kuchanganyikiwa na maumivu vinatushambulia kutoka kila sehemu, kinachohitajika kwetu ni nguvu na wepesi ili tuweze kutokezea upande ...
-
Uishi Katika Imani Yenye Ujasiri
Laiti maisha yangekuwa shwari tu; ingekuwa tamu kabisa. Laiti mambo yote yangeenda sawa sawa ili tuwe na afya, mali na hekima. lakini bado kuna mafumbo na giza. ...