... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kukimbia Katika Mashindano ya Neema

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favourites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Matendo 20:22-24 Basi sasa, angalieni, nashika njia kwenda Yerusalemu hali nimefungwa rohoni, nisiyajue mambo yatakayonikuta huko; isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja. Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu.

Listen to the radio broadcast of

Kukimbia Katika Mashindano ya Neema

Download audio file

Nadhani umeshasikia msemo huu: “Njia inapokuwa ngumu, mashujaa ndio wanaoishika.”  Ni tamko zuri na Dhana nzuri, lakini tukisema ukweli, safari inapokuwa ngumu, mara nyingi tunakwama. 

Hususani njia inapokuwa ngumu, mara nyingi tunaweza kushawishika kutenda mabaya, Biblia inatuambia kwamba, Shetani anazunguka-zunguka kama simba aungurumaye, akitafuta mtu wa kumeza (1 Petro 5:8). 

Yeye anavuta subira hadi atuone tumeingia kwenye hali ya udhaifu, ndipo anapoturukia kwa ghafla!. Sasa mtu afanyeje akighafilika kwenye kosa? 

Matendo 20:22-24  Basi sasa, angalieni, nashika njia kwenda Yerusalemu hali nimefungwa rohoni, nisiyajue mambo yatakayonikuta huko; isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja.  Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na huduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Habari Njema ya neema ya Mungu. 

Mtume Paulo aliyeandika maneno hayo angekuwa wa kwanza kukiri kwamba alikosea sana katika maisha yake magumu aliyoitiwa na Mungu. Paulo alijua kutegemea kabisa hata kudai neema ya Mungu. Neema hii ndio aliyosukumwa aitangaze kote duniani hata kama alijua kwamba hatimaye itamgharimu uhai wake. 

Kila mmoja wetu anapaswa kufanya maamuzi.  Aendelee na mzunguko ya majuto na aibu au akimbie mbele katika mashindano ya neema. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.